Wednesday, December 9, 2015

Rais Dk.Magufuli afanya usafi karibu na lango kuu la baharini la kuingilia Ikulu DSM

3 comments:

Anonymous said...

Supper star Magufuli. Mungu ambariki kazi kwa vitendo hakuna blah blah hata wananchi wamehanasika kufanya kazi namna wanavyomuona raisi wao anavyotjituma . Hongera sana muheshimiwa raisi.

Anonymous said...

Raisi unahitaji kuwa na mtu pembeni mwenye ujuzi katika masuala ya afya na mazingira. Hayo mazingira waliomo watu bila kutake standard precaution hapo wananweza wote hao wakaishia Muhimbili kwa hichi hicho kipindupindu unacho taka kuepuka halafu Mmuhimbili yenyewe ndo hio haina hata vitanda. Si kwa uchafu huo jamani daah.Watu hawapo protected na vitendea kazi vya mambo ya usafi wa public. Hayo mazingira yana pose a big threat hapo kuna risk ya hata hepatitis na maradhi mengine mengi makubwa.

Anonymous said...

WEWE ANONYMOUS WA 12:30PM, HUJUI UNACHOKISEMA NANI KAKWAMBIA HEPATITIS INAPATIKANA KTK TAKA. HEPATITIS INAAMBUKIZWA KWA NJIA YA BODY FLUID. UKAWA KULA MANDIMU GET YOUR LIFE BACK. MTAKAA KUKOSOA SISI TUNAJENGA NCHI YETU.