Saturday, December 26, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015

Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015
RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015

PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

SAWA,MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI MMEKUTANA,MMEONGEA.HATUJUI MLICHOONGEA SISI RAIA TUMESHINDWA KUKIJUA,LABDA BAADA YA MUDA TUTAAMBIWA KUPITIA AIDHA MSEMAJI WA IKULU AU MMOJA WENU WAHESHIMIWA WETU.ILA TUU DOKEZO LA KUKUMBUKWA KUTOKA KWA NAIBU SPIKA WETU,RAIS WA ZANZIBAR ATAENDEEA KUWA RAIS[HATA KWA MIAKA KUMI]HADI HAPO RAIS MPYA ATAKAPOAPISHWA.HIYO NDIYO RAHA YA KUYAFAIDI MAUDHUI YA SHERIA-KANDAMIZI,SHERIA YA KUHALIFU UKWELI.