Monday, December 28, 2015

RIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam jana.
 Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG



5 comments:

Anonymous said...

Sioni umuhimu wa hii picha ya ritz1 ikulu siyo kati ya mawaziri walioapishwa wala hana cheo chochote kwenye serikali ya JPM. Hii picha inaonyesha mbali ya katibu kiongozi pia yupo na KK, NW wa fedha na mipango sijui ni ujumbe gani tunapewa na huyu jamaa. Mwenye kuielewa hii picha tafadhali fafanunua.

Anonymous said...

Upuuzi mtupu. Rizone hivi eeh! Ooh Rizone vile! Upuuzi mtupu!

Anonymous said...

Nashangaa sana kwani huyo riziiii moja alikuwa mgeni mwenyewe kwenye hicho kiapo mbona wengine hawatajwi? Kwa really yeye ni nani zaidi ya mbunge wa pale njia panda ya Tanga na Moro

Anonymous said...

Mtoto wa Rais mstaafu

Anonymous said...

Mpuuzi kama baba yake. Angalia anavyotaka attention na kidole chake.