ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 19, 2015

Samira Lilah apata nondoz nyingine.

Samira Lilah apata nondo nyingine ya Pastry Arts jana,  siku ya tarehe kumi na nane mwezi huu wa kumi na mbili katika chuo cha L'Academie de Cuisine (LADC),The Academy of Culinary and Pastry Arts,katika mji wa Gaithersburg, Maryland.USA.
 katika picha Samira baada ya kupokea shahada yake.

 Samira akipokea shahada yake kutoka kwa mkuu wa chuo cha L'Academie de Cuisine (LADC), Bwana Francois M. Dionot.
 Samira akipata ukodak na walimu wake katika chuo cha L'Academie de Cuisine(LADC)
 Samira akiwa na baadhi ya wahitimu wenzake 

 picha juu na chini Samira akiwa na familia yake baada ya mahafali.



 Samira akipewa zawadi ya keki ya hongera kutoka kwa Chef mwenzie



No comments: