Hapa kama anavyoonekana Steve Harvey baada ya kugundua kafanya makosa kumtangaza Miss Colombia kuwa mshindi wa Miss Universe 2015, baada ya Miss Philippines kama ilivyoondikwa kwenye card ya matokeo.

Steve Harvey akiomba samahani mbele ya camera na watu walioudhuria mashindano hayo yaliyokuwa yanafanyika Las Vegas kwa kuonesha card ya mtokeo inayonesha kuwa Miss Philippines ndiyo kidedea wa mashinda hayo na Miss Colombia ambae alimtangaza mshindi anatakiwa kuwa mshindi wa pili na wa tatu ni Miss U.S.A.

Miss Philippines kwenye sura ya mshangao baada ya kusikia kuwa yeye ndiyo anatakiwa kuveshwa taji kwani ndiyo mshindi na alietangazwa katangazwa kimakosa. Na nyuma ya Miss Philippines ni Miss Colombia akishindwa kuwa na pozi na kubakia na majonzi kujua kuwa siyo yeye anaetakiwa kulitwaa taji hilo na anatakiwa kulivua licha ya kutangazwa kuwa mshindi na kulishikiria taji hilo kwa dk 10.

Miss Colombia Ariadna Gutierrez akivuliwa taji alilokuwa ameshikilia kwa dakika 10 tu baada ya kutanzwa mshindi kima kosa.

Katika ni Vega Miss Universe aliemaliza muda wake akimpa pole Miss Colombia anaeonekana kukosa pozi la kimiss na sasa anaonekana na pozi la kijane baada ya kumvua taji na kumvalisha Miss Philippines mwenye sura ya matumaini na bashasha na taji lake kichwa.

Warembo wenzake wakimpongeza Miss Philippines kwa ushindi huo wa Miss Universe 2015 - 2016.

The embarrassed host even showed the results card to the camera to prove that it had truly been his own personal mistake

Miss Philippines was in shock, her lip quivering as second-runner up Miss USA Olivia Jordan congratulated her

Just an hour ago the two women had been sharing a happy embrace as they were both named, along with Jordan, into the top three

After they made it to the top three spots Harvey revealed to the women that their fellow competitors were going to help decide who would be named Miss Universe 2015



Wurtzbach said that, if she won Miss Universe, she wanted to raise HIV awareness


1 comment:
Hiyo nayo ilikuwa ni sehemu ya burudani, hata hivvyo huyo miss Colombia lazima ajisifu kuwa miss universe hata kama ni dakika 10 si mchezo, iwe kwa bahati mbaya au nzuri haijalishi. Na nina mshauri aweke kwenye cv yake. Hongera sana mama.
Post a Comment