Friday, December 4, 2015

TAARIFA ZA UKUMBUSHO WA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK,NEW JERSEY,CONNECTICUT NA PENNSYLVANIA JUMAMOSI DISEMBA 5 2015.

TAARIFA ZA UKUMBUSHO WA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK,NEW JERSEY,CONNECTICUT NA PENNSYLVANIA JUMAMOSI DISEMBA 5 2015.
Jumuiya ya Watanzania New York inawasisitiza kuhudhuria mkutano wenu muhimu ili kujadili mwenendo Na mwelekeo wa jumuiya yetu.mkutano utafanyika jumamosi Disemba 5 venue ni Senegalese Association Building,
211West 116th Street,New York,NY.10016
Mkutano utaanza 2:30 PM- 7:00PM.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Viongozi wa jumuiya.
#914-316-2814
#347-869-2230
#347-489-6532
#347-623-8965

3 comments:

Unknown said...

NDUNGU WA NA JUMUIYA HUU MKUTANO NI MUHIMU SANA KWA HII JUMUIYA YETU TUNA OMBA TUJITOKEZE KWA WINGI NA TUZINGA TIE MUDA ULIO PANGWA ILI TUSIYAKOSE MAMBO MUHIMU

Anonymous said...

Waandaji mkutano, tafadhali msiache kutuma kwenye email groups, mie nimebahatika kuliona hili tangazo hapa...nashangaa sikutumiwa email. Wapo wengi ambao watapitwa na hili tukio endapo hawasomi blog hii.
DJ Luke, usibanishe hili ombi.

Anicetus said...

Community can not exist without members and, members can not exist without a strong community leadership. We have come far to create such a lovely commuity. In short, come all and let us share opinion on selecting the next leadership and other issues.