Kikao kikiendelea na watu walitangaziwa kuwa siku ya uchaguzi itatangazwa na taratibu zote juu ya nini kinaitajika kufatwa ilikufanikisha uchaguzi huo utaofanyika muda wowote kuanzia January. |
Mussa akichanganua jambo mkutanoni hapo
Mweka azina wa NYTC Rafael Faida.
Katibu wa NYTC Dr Mariam na Mweka azina Dr Temba. Kwa picha zaidi Tembelea http://tembaphoto.com/
No comments:
Post a Comment