Tukienda na utabaka wa udini, ukabila wetu hatuendi mbali. mbali na wengine, kwenye picha hivi Dr. Temba ni muislamu. Terehe 9 Dec 2015 ni siku ya usafi wa akili, ubongo, mwili na mazingara.
Mpo huko marekani na bado mnawaza udini kweli leo nimeamini mlio marekani wengi ma luza Sasa nasisi wa wakristo wa huko kwani hamuoni fulsa au acheni ufalaaaaaaa changa mkeni na nyinyi
FYI:Hii ni kampuni ya kibiashara. Wewe unaesema hivyo ndio mdini wa kuogopwa kama ukoma. Hapa DMV na kwingine kote,kuna vikundi vikundi vingi,na wapo walio na vikundi ambao ni wakristo tu,wapo walio waislam,wapo walio changanyika. Cha kushangaza,kuna too much sensitivity pale tunapoona waislam wameungana.Whyyyy????? Sijawahi hata siku moja kusikia mtu anasema "wale ni wakristo tu". Tatizo ni wewe mwenye akili finyu kuanza kuandika ufinyu wa mawazo yako na kutupotezea sisi wengine tunaoona kuna umuhimu wa kujibu hii "ignorance"ya hali ya juu. Mwl. Nyerere alisema,adui mkubwa ni ujinga,maradhi na umaskini. Jikwamue ndugu yangu ktk huo ujinga.Nitakuweka kwenye maombi.
Tuache kumjibu huyu mtu mwenye akili finyu. Huu upuuzi wa malalamiko ya udini dhidi ya waislam hapa dmv ndiyo ulioigawa jumuiya yetu na tukiendelea kusikiliza watu kama hawa wenye mawazo finyu hatutaendelea ndiyo maaana tupo tumejaa huku Marekani na wengi badala ya kufanya mambo ya maana ni majungu tu. Mbona hujawahi sikia mtu kasema ile radio station iliyoanzishwa hapa DMV ni wakristo watupu? Maaana imenifanya sasa nianze kuangalia wafanyabishara wengi na kutafuta imani zao na mikusanyiko hiyo ipo kwa watu wa imani moja wa pande zote wakristo na wengine waislam. Na who cares imani ya mtu? Imani yako ni wewe na mungu wako. Vijana wa ICT IM INSPIRED MMETHUBUTU NA KUWA NAWAFAHAMU VIZURI NA IMANI MTAWEZA ENDELEENI NA KUCHAPA KAZI NA I CAN NOT WAIT TO COME TO ANOTHER MEETING / EVENT. Tulijifunza mengi in that forum from those who are doing it are in bussiness.. Lets move forward achaneni na hawa watu wanaotaka kudestruct your focus...
Ama hakika wabongo kaaaazi ipo. Naomba kutoa ushauri. Jamani tubadilike tuanze kuwa na wivu wa maendeleo! Ukiona mwenzako ana LPN basi nawe kajitahidi upate same LPN au umzidi usome nursing degree! Mwenzako akifungua biashara na ana ofisi nawe mdadisi kafanyaje ili nawe uondokane na kupiga box. Hii tabia ya kubezana haitotufikisha popote. Nilikuwepo kwenye shughuli na it was done professional. Tujifunze kutoka kwa wachache walioamua kutumia vipaji vyao kufungua biashara nawe tafuta chako. Sasa wewe umekaa unakashifu watu wenye ofisi zao wakati wewe mwenyewe unapiga box hata kampuni ya kwenye mkoba huna.. MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
6 comments:
Tukienda na utabaka wa udini, ukabila wetu hatuendi mbali. mbali na wengine, kwenye picha hivi Dr. Temba ni muislamu. Terehe 9 Dec 2015 ni siku ya usafi wa akili, ubongo, mwili na mazingara.
Wewe utabaki hivyo hivyo na ufinyu wa ubongo na chuki. Anzisha kampuni yako na mapadri. Nonsense.
Mpo huko marekani na bado mnawaza udini kweli leo nimeamini mlio marekani wengi ma luza
Sasa nasisi wa wakristo wa huko kwani hamuoni fulsa au acheni ufalaaaaaaa changa mkeni na nyinyi
FYI:Hii ni kampuni ya kibiashara. Wewe unaesema hivyo ndio mdini wa kuogopwa kama ukoma.
Hapa DMV na kwingine kote,kuna vikundi vikundi vingi,na wapo walio na vikundi ambao ni wakristo tu,wapo walio waislam,wapo walio changanyika. Cha kushangaza,kuna too much sensitivity pale tunapoona waislam wameungana.Whyyyy?????
Sijawahi hata siku moja kusikia mtu anasema "wale ni wakristo tu".
Tatizo ni wewe mwenye akili finyu kuanza kuandika ufinyu wa mawazo yako na kutupotezea sisi wengine tunaoona kuna umuhimu wa kujibu hii "ignorance"ya hali ya juu.
Mwl. Nyerere alisema,adui mkubwa ni ujinga,maradhi na umaskini.
Jikwamue ndugu yangu ktk huo ujinga.Nitakuweka kwenye maombi.
Tuache kumjibu huyu mtu mwenye akili finyu. Huu upuuzi wa malalamiko ya udini dhidi ya waislam hapa dmv ndiyo ulioigawa jumuiya yetu na tukiendelea kusikiliza watu kama hawa wenye mawazo finyu hatutaendelea ndiyo maaana tupo tumejaa huku Marekani na wengi badala ya kufanya mambo ya maana ni majungu tu. Mbona hujawahi sikia mtu kasema ile radio station iliyoanzishwa hapa DMV ni wakristo watupu? Maaana imenifanya sasa nianze kuangalia wafanyabishara wengi na kutafuta imani zao na mikusanyiko hiyo ipo kwa watu wa imani moja wa pande zote wakristo na wengine waislam. Na who cares imani ya mtu? Imani yako ni wewe na mungu wako.
Vijana wa ICT IM INSPIRED MMETHUBUTU NA KUWA NAWAFAHAMU VIZURI NA IMANI MTAWEZA ENDELEENI NA KUCHAPA KAZI NA I CAN NOT WAIT TO COME TO ANOTHER MEETING / EVENT. Tulijifunza mengi in that forum from those who are doing it are in bussiness.. Lets move forward achaneni na hawa watu wanaotaka kudestruct your focus...

Post a Comment