Tuesday, December 8, 2015

UJUMBE KUTOKA VIJANA WA MOROGORO

sisi vijana wa Morogoro tunamuuga mkono Rais Magufuli kwa kazi nzuri kwasasa watumishi wa umma wameeshimu wananchi kwa kila shida kama jeshi la polisi tunasikilizwa haraka sana pia hospitali huduma zinaenda vizuri sana tunachoomba vijana wa mji kasoro bahari Moro rais afatilie viwanda ili vijana tupate ajira kwa sasa viwanda vinafungiwa mbuzi pia tunaomba katibu wa nyumba na makazi aje Moro achunguze mafisadi wanao miliki majumba wakati kipato chao hakilingani na masilahi pia idara ya maji haitutendei haki kwenye malipo ukiuliza unatukanwa hata kuchukiwa

No comments: