Tuesday, December 8, 2015

UKODAK MWINGINE WA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE, WA

 Jimmy Mkude (kulia) ambaye ni mshika fedha na familia yake katika picha ya pamoja na mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini 
 Emily Mutta katika picha ya pamoja na familia yake. Mutta ndiyo mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Seattle, jimbo la Washington.
 Haji ambaye ni katibu wa Jumuiya akiwa kwenye picha ya pamoja na familia yake
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Emily Mutta katika picha ya pamoja na familia yake

No comments: