Tuesday, December 8, 2015

TANZIA NEW JERSEY NA TANZANIA

Lydia Jengo anasikitika kutangaza msiba wa mpendwa mama yake, msiba umetokea saa 9 usiku wa kuamkia leo huko Dar. Jina la Mama ni Naitovuaki Jengo.

Kama ilivyo ada kupeana pole ndio ustaarabu wetu na ukipata nafasi unaweza kumpigia simu mfiwa simu yake ni 862 216 4648

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina La Bwana Lihimidiwe na kwake tutarejea

No comments: