ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 24, 2015

UZIMA ULIAZIMWA,TUNZA KWANI NI AZINA!

Yashauriwa na wataalam wa afya kupima  kishindo cha msukumo wa damu  mara kwa mara, ili kufahamu pale yanapotokea mabadiliko na kuyabili.Shinikizo la damu ni gojwa linalotuweka katika atari za stroke na magojwa ya moyo.


Image;American heart Ass.
Source NesiWangu

No comments: