Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Mbarak Abdulwakil akiongea na Wafanyakazi katika kikao cha Menejimenti Ofisini hapo.
Naibu Katibu Mkuu Ngosi Mwihava akiongea na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na kumkaribisha Katibu Mkuu kuzungumza na Menejimenti hiyo.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria kikao cha Menejimenti wakimsikiliza Katibu Mkuu (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika Ofisini hapo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment