Kwa mara ya kwanza katika historia ya uhifadhi nchini Majangili wamempiga risasi na kumuua Rubani Roger na kuangusha helikopta aliyokuwa akitumia kwa risasi. Alikuwa akienda kuongeza nguvu ya askari wa uhifadhi waliokuwa wakipambana na majangili hatari wilayani Meatu, Simiyu katika ranchi ya wanyamapori ya Mwiba.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akiangalia Helikopta iliyolipuliwa na majangili alipotembelea eneo la tukio.
Damu kwenye kiti
2 comments:
R.i.p majangili hawa wasakwe vikali na hatua zichukuliwe
this is too much,wangeanza kuwatafuta kuanzia mipakani
Post a Comment