Wednesday, January 6, 2016

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa wanaoitibiwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini hapo


No comments: