ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 29, 2016

Mishumaa ya kale LIIIIVE Ijumaa 5:00pm EST USIKOSE

Mishumaa ya kale kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group inaanza saa 11 kamili jioni (5:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
Pata muziki halisi wa kale, na pia mazungumzo ya watu mbalimbali
 Piga simu 240 454 0093 utuambie ni nini unachokijua kuhusiana na muziki wa zamani

Ni MISHUMAA YA KALE live. Ukiwa na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio
Jiunge nasi kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com
ama www.bordermediagroup.com
Ama kwa aliye Marekani na Canada unaweza kutusikiliza kupitia 716 748 0086 au Tunein Radio kwa kutafuta Vijimambo Radio

4 comments:

Anonymous said...

HABARINI WANDUGu.NAOMBA MNISAIDIE JINSI YAKUINGIA KUSIKILIZA HIKI KIPINDI KWANI NIMEJITAHIDI SANA LKN NDIO HIVYO..ASANTENI

Mzee wa Changamoto said...

Salaam mdau.
Naona maoni yako yameingia saa nne usiku.
Tayari tulishamaliza kipindi.
Tunafanya kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 1 usiku.
Kwa ulichokikosa jana unaweza kusikiliza hapa http://lukemusicfactory.blogspot.com/2015/01/marudio-ya-kipindi-cha-mishumaa-ya.html?m=1

Anonymous said...

asante sana

Anonymous said...

Na sisi wa Tennessee tumeinjoi