Tuesday, January 12, 2016

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU INAWATAKIENI HERI YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni inawatakieni heri ya kuazimisha miaka 52 ya mapinduzi ya Zanzibar,Mapinduzi yaliyofanyika 12 January 1964 ambayo yaliwakomboa wananchi wanyonge wazanzibar
walikuwa chini ya utawala wa Kisultan,Mapinduzi hayo ya tarehe 12 January 1964
yaliyomfanya Sultan kuikimbia Zanzibar na kusahau kiremba kitandani.
Mungu yabariki mapinduzi,Mungu wabariki Wanzibari na kuhudumisha amani na upendo daima,Mungu ibariki Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tusherehekee Mapinduzi day burudani www.ngoma-africa.com

No comments: