Advertisements

Sunday, January 10, 2016

TANZIA DMV NA TANZANIA LETICIA NYERERE HATUNAE TENA

Aliyekua Mbunge viti maalum Leticia Nyerere ameaga Dunia leo katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland.  Msiba DMV upo 9004 Brightlea Court, Lanham, MD 20706. Taarifa zaidi baadae R.I.P. mama yetu tulikupenda lakini Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.

10 comments:

Anonymous said...

Dadangu Pumzika kwa amani.

Anonymous said...

Mungu apokee roho yako ipumzike kwa amani. Mungu awapatie Amani watoto wako wabakie kwa umoja na mapendo juu yao. Poleni sana

Anonymous said...

Kila binadamu ataonja mauti, pumzika kwa amani. Amina!

Angie Abraham said...

Mungu akupumzishe mahala Pema Peponi dada yetu mpenzi. Wengi tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako na ukarimu lakini haya yote ni mapenzi ya Mungu.

Angie Abraham said...

Mungu akupumzishe mahala Pema Peponi dada yetu mpenzi. Wengi tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako na ukarimu lakini haya yote ni mapenzi ya Mungu.

Unknown said...

POLENI WANAFAMILIA RIP LETICIA M NYERERE !

Unknown said...

TUNAWAPA POLE WAFIWA WOTE !RIP LETICIA M NYERERE !

Anonymous said...

POLENI WANAFAMILIA WOTE AND PLEASE STAY STRONG. DADA YETU YUPO AT A BETTER PLACE NOW. AMEN.

Anonymous said...

ngoju uju uone,,, Her favorite thing?

Anonymous said...

R.I.P. love you so much with all my heart. Julius, Julia and Helena God is always with you you shall not fear.