ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 17, 2016

Wahamiaji Haramu 85 Wakamatwa Iringa

2 comments:

Anonymous said...

Swala linalogusa uhamiaji kwa nchi yetu Tanzania ni Kitendawili kikubwa. Hawa hawakuanza leo na Serikali haikuwa makini kudhibiti wahamiaji, tumeona jinsi gani wanavyoweza kuhamia na kujenga kuhodhi biashara kubwa na kuishi kwenye mahoteli mudfa mrefu wakilipa hela taslimu kila leo na wenye mahoteli hata hawajiulizi. Utaratibu wa wahamiaji au waingiaji nchini haujatiliwa mkazo tangu kipindi kirefu na walishajiwekea msingi mkubwa sana wa rasilimali wazawa wakikosa haki hizo. Wanazo biashara kubwa sana na wengine kuweza kufungua hata shule na serikali ndioy iliyowapa vibali hata waalimu wanaofundisha mashule mengi ni wahamiaji tujiulize je wana elimu bora au wanaajiriwa na wenyewe kwa undugu au kuhamishiana Tanzania tu. Hapa Arusha wala usitaje kwani wajirani zetu ni wengi kupindukia. Kuna kazi ngumu na kubwa sana kwenye hiili swala vyema limeanza kufanyiwa kazi. Uvumilivu wa aina hiii hautakiwi uendelee. Hapa kazi ipo sio kazi tu!!

Anonymous said...

Muhimu ni kuishi katika nchi nyingine kisheria. Hata kama wameishi kinyume cha sheria kwa muda mrefu na kuwekeza, sheria bado inaweza kufuatwa wakalipa faini na kodi na kuendelea kuishi nchini. Muhimu ni kufuata sheria za uhamiaji wa nchi.