safi sana serikali, watu walizoea utawala binafsi, waonyeshe vibali vilivyowaruhusu kujenga? huna pa kwenda eh?? mbona hamwendi kuvamia mapori yamejaa tele tanzania, acheni ujinga na kuwapa shida viongozi wenu, njooni huku mpiji ardhi ya kumwaaga na viongozi wa kijiji wanakuandikishia shamba lako, miti ya bure utaikata na kujenga kibanda chako, sio kung'ang'ania mjini, viongozi wangu wembe ndio huo huo, nchi ilikuwa na ujinga sana, asanteni
2 comments:

HUKU MAJUU HUVAMII ENEO WAZI, FULL STOP. HILI SOMO. SERIKALI INARUDI KUFANYA KAZI. ILILALA WATU WAKAJISAHAU.
Post a Comment