Monday, January 18, 2016

Wananchi wafunga barabara Mkwajuni, Dar

1 comment:

Anonymous said...

Huo uhuni utaendelea hadi lini? Imefikia mahali tuwe na serikali yenye nguvu isiyoyumbishwa na watu wahuni wahuni wanaofunga barabara na kuharibu miundombinu.....sasa kwa kufanya hivyo wamewezaje kufaidika? Tuwe na serikali isiyo-entertain huo ujinga, polisi fanyeni kazi yetu kwa ustadi na kwa haraka kuwadhibiti na kuwafunga hao wahuni ikiwezekana wapewe mkongo'to mkali ili wawe na kumbukumbu kuwa wakicheza watapata vipigo na vifungo virefu. POLISI FANYENI KAZI YENU KWA UFANISI.