Monday, January 4, 2016

Waumini wamgeuzia kibao mchungaji

Vurugu kubwa zimeibuka katika ibada ya kanisa la Ebeneza la Kipentekoste wakimshusha mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Musa Mlezi madhabahuni wakimtuhumu kuendesha kanisa hilo kinyume cha maadili na kuendekeza vitendo vya udharirishaji wa wanawake.

No comments: