ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 29, 2016

Arobaini ya Mzee George Sebo


8 comments:

Anonymous said...

Asante mtoa shukurani. Tunachokielewa hapa ni kwamba mpendwa wetu ndugu yetu huyu Sebo msiba wake uligusa wengi na wasio wanachama wa chama! Kwa kifupi tu haukuw amsiba wa chama ni wa waTanzania tuliomjua. Hivyo kuingiza shukurani hiii kama ya kichama inatuwekea maulizo jinsi gani ya kushiriki msiba. DMV hatujiomngozi kivyama ila KiDiaspora. Hili lingefanyika kwenye vikao vya kichama na hapa ni kuwashukuru wote walioshiriki. PERIOD.

Anonymous said...

Inasikitisha sana kwa watu wa cham kuchukua credit nzima ya msiba na ukweli ni kwamba watanzania wote walishirikiana na kazi kubwa imefanywa na wanafamilia na wana jumuiya wengine ambao hawahusiki na CCM mzee wa watu ameshapumzika .

Anonymous said...

Mhh hata aibu hamuoni?????

Anonymous said...

Very true nakubaliana na wewe kabisa. Kuna wengine tuliguswa kama watanzania na sio kichama. Kwenye kitu kama misiba, tuweke mambo yanayogawanya watu kando.

Anonymous said...

dmv majanga kweli.mmmh halafu badala ya kumzika mzee wetu kwa heshma watu walitia ndani pesa;na chakula kilikuwa kidogo yani majanga kweli dmv.lakini mungu atatusaidia.

Anonymous said...

Ccm number one wengine mtasubiri kudadeki ....ccm oyeeee

Anonymous said...

Hivi kwa nini msizoee kwamba wote ni ccm ??hakuna upinzani hahahahah

Anonymous said...

watu wa DMV mnatia aibu mpaka kwenye misiba mnaleta uchama? Majungu, utapeli, hivi mipaka yenu inaishia wapi? Mijitu mengine mpaka ngumi msibani? Jee hii ni laana au? Munahitaji maombi kwa kweli. Viongozi wa dini wanahitajika kufanya maombi . Huu msiba wana dmv wote walihusika kuufanikisha .