ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 11, 2016

ASYA IDAROUS KHAMSINI, RICH MAVOKO WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LONDON

Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini (kulia) pampja na mwanamuziki wa Bongo Flava Richa Mavoko (wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kalage walipopelekwa na mwenyeji wao mmiliki wa Club Malibu (kushoto).

Asya Idarous Khamsini siku ya Jumamosi Februari 13, 2016 sambamba na msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko watawasha moto jijini London kwenye onesho la vivazi la Lady in Red maalum kwa ajili ya siku ya wapendanao na zawadi maalum ya wakazi wa Uingereza litakalofanyika jijini London.

2 comments:

Anonymous said...

Jamani mh Balozi Kalaghe si tuliambiwa ameamriwa arudi haraka nyumbani na mh Rais..yaani toka lile tangazo litoke hadi leo ni muda sana. Hizi ni Sarakasi. Kweli bongo tambarare ha ha

mdau

USA

Anonymous said...

Umbea tu, hakuna mdau USA hapo. Huyo ni kunguni wa hapa hapa UK.

Usanii gani? Si unaona mabox nyuma ya Mhe Balozi . Ndo anafungasha hivyo. Tuliza ball!