TAARIFA
KWA UMMA
KUZIMWA KWA MTAMBO WA
MAJI WA RUVU CHINI
SHIRIKA
LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO), LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO
MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI
WA RUVU CHINI UTAZIMWA KWA SAA 36 KWA SIKU
YA ALHAMIS TAREHE 18.02.2016.
KUZIMWA
KWA MTAMBO HUO KUMETOKANA NA MATENGENEZO KATIKA BOMBA KUU LENYE UKUBWA WA INCHI
54 LINALOSAFIRI MAJI KUTOKA BAGAMOYO MPAKA KWENYE MATENKI YA MAJI YALIYOPO CHUO
KIKUU ARDHI .
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:
MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA MAPINGA, KEREGE NA
MAPUNGA. BUNJU, BOKO, TEGETA, KUNDUCHI, SALASALA, JANGWANI, MBEZI BEACH NA KAWE.
MAENEO
MENGINE NI MLALAKUWA, MWENGE, MIKOCHENI,
MSASANI, SINZA, MANZESE, MABIBO, KIJITONYAMA, KINONDONI, OYSTERBAY, MAGOMENI,
UPANGA, KARIAKOO, CITY CENTRE, ILALA, UBUNGO MAZIWA, KIGOGO, MBURAHATI, HOSPITALI
YA RUFAA MUHIMBILI, BUGURUNI, CHANGOMBE NA KEKO.
WASILIANA
NASI KUPITIA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA NAMBA 022-2194800 AU 0800110064
DAWASCO INAWAOMBA RADHI KWA USUMBUFU
UTAKAOJITOKEZA
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO
DAWASCO-MAKAO MAKUU
“DAWASCO TUTAKUFIKIA”.
No comments:
Post a Comment