Wimbo huo mpya alioutambulisha kwa jina la ‘Make me Sing‘, Diamond ameufanya na rapa wa nchini Afrika Kusini, AKA.Make me Sing‘ inatatrajiwa kuachiwa Ijumaa, February 12, 2016. ikumbukwe kuwa kuanzia February 9, Diamond Platnumz aliwaambia mashabiki zake wakae tayari kwa ngoma mpya, na haya ni maneno ya Platnumz kwenye akaunti yake ya twitter.
Mkali huyo wa bongo fleva pia anatarajia kwenda nchini Marekani hivi karibuni kwa ajili ya kufanya nyimbo nyingine na Prodyuza, Swizz Beatz, Alicia Keys na kufanya video ya kolabo yake na staa wa nchini humo, Neyo ambaye tayari walishafanya naye kazi na kufanikiwa walisharekodi audio.
GPL
No comments:
Post a Comment