ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 10, 2016

KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU MZEE HASSAN NURDIN KUFANYIKA 20.Feb 2016 Moshi

Assalam alaykum. Familia ya marehemu Hassan Nurdin inatoa taarifa ya shughuli ya kisomo cha Arobaini ya Mzee wao marehem Ustaadhi Hassan Nurdin itakayofanyika Moshi Majengo Tarehe 20/2/2016 Siku ya Jumamosi Baada ya Swalatul Dhuhuri (Saa 7) Inna Lillah wainna ilayhi Raajiun Kwa mawasiliano. 0784 776565 0754 776565 Chief Daud Mrindoko 0714 777979 0686 777979 Dr. Allysix Nurdin

No comments: