ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 11, 2016

KIVUKO CHA MV MAGOGONI CHAPOTEZA MWELEKEO, ABIRIA WAJITOSA MAJINI ILI KUJINUSURU

Kivuko cha MV Magogoni kupata hitirafu, kumepoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria. Vilio na kelele zilisikika pale maji yalipoanza kupanda ndani ya kivuko.

Hali hiyo ilisababisha abiria waanze kujitosa ndani ya maji kwa wale wanaojua kuogelea. Hakika watu wa Kigamboni wanatembea roho mkononi.
Umati mkubwa wa watu ukiwa upande wa Kigamboni

No comments: