ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 11, 2016

TAARIFA YA MSIBA


Familia ya marehemu Edwin Mamuya,wa, Dodoma chako ni chako ..wanasikitika kutangaza kifo cha Mrs Irine Mamuya, kilichotokea leo Muhimbili. Habari ziwafikie Monnie Mamuya wa, North Carolina na Loveness Mamuya wa, Washington, DC Lemmy Mamuya wa New Mexico na Caroline Mamuya wa Baltimore, MD  Dr. Mamuya wa, Massachusetts na Familia yote ya Mamuya na ukoo wa Kimambo.

Mipango ya mazishi inapangwa msiba upo Mbezi beach kuelekea Marangu Moshi ..

1 comment:

Anonymous said...

Poleni wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu pema prponi. Amen.