KUNA VITU VINGINE TANZANIA VINASHANGAZA SANA! WEBSITE YA NECTA INAWEZA FUNGIWA KWA KUSHINDWA LIPIA DENI?
Hii ni leo February 19, 2016. Inawezekana website ya baraza la mitihani la taifa la Tanzania yafungiwa kwa kushindwa lipa deni. Ni Aibu na vijimambo haijawahi ona kitu kama hiki!
2 comments:
Browser yako ndo mbovu...Necta iko safi tu
Kweli imefungwa inaelekea hawajui umuhimu wa kuwa na website
Post a Comment