ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 11, 2016

MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI NEW YORK TANZANIA COMMUNITY


MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI NEW YORK.

Kutokana na kutojitokeza wagombea wa kutosha katika nafasi za uongozi wa jumuiya yetu, Kamati yetu ya uchaguzi imekubaliana kufanya mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi. Uchaguzi wetu hautofanyika tena jumamosi ya February 13.
Kamati yetu itakaa tena, kukubaliana na kuitangaza tarehe mpya ya uchaguzi mapema iwezekanavyo.Tunasisitiza Wanajumuiya mjitokeze kwa wingi kuchukua form ili tupate Viongozi kuiongoza jumuiya yetu.


Tunawatakia Afya njema,upendo na Amani Wanajumuiya wote. Ameen.


Mchungaji Mama Butiku,
Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi.
NYTC.

5 comments:

Anonymous said...

very well attended

Anonymous said...

Hivi huu ndio uongozi gani?? siku zimeshafika mbona amuwaambii watu mahali watakapokutana na kutenda haki yao hiyo ya kimsingi? Viongozi hili swala mbona mnaliletea masihala sana?? mpaka leo tangazo halina mahali watu watakapo kutana mna maana gani? au ndo hujuma zenyewe hizi. Mwenyekiti Khaji, Katibu Miriam acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani hapa.

Anonymous said...

Mara ya ngapi unaanirishwa? Kweli uongozi kazi.

Anonymous said...

mashairi ya mshindi yalikuwa hayajakamilika

Anonymous said...

Na Kamati hii ya uchaguzi imechaguliwa na nani? Maana inaonekana nayo ni kamati batili.