Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Manyovu, Albert Obama Ntabaliba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari3, 2016.
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Februari 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibaha Vijijini Hamoud Abuu Jumaa kwenye viwanja vya Bunge mJini Dodoma, Februari 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mbunge wa Kibaha Vijijini, Hamoud Abuu Jumaa (katikati) na Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 3, 2016.
3 comments:
Tumekinai na maonyesho ta mh. Waziri Mkuu tuuh huko bungeni kwani hakuna wabunge wengine!? Hatuwezi kuletewa yale yaliyoongelewa ndani ya bunge?!? Picha kwani kuna ajenda ya kumtangaza mh. Waziri mkuu Majaliwaa!!
Tunaomba wablog mpate taarifa za kilichojiri kwenye hotuba sio hii yaa kusalimiana. Ishapitwa na wakati. Tunajadili hoja! Asante..
Hata wewe ungekuwa maarufu uso wako ungeonyeshwa pichani. Kumuona kiongozi pichani siyo jambo la ajabu. Chuki ya nini hapa? Inakuuma wewe namna gani? Wabongo tuache hizi petty complaints, binafisi sioni madhara ya kumwonyesha Waziri mkuu akifanya interactions na wabunge wenzake.
Post a Comment