Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupinga kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi huo Zanzibar.
Sheikh Ponda akisalimiana na mwanahabari Said Powa wa gazeti la Tanzania Daima baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari.
Sheikh Ponda akiondoka baada ya kuzungumza na wanahabari.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
1 comment:
Hivi kuna sababu ya kuufanya uchaguzi kupoteza fedha bule wakati CCM tawala walishaandaa majibu na ushindi kama walivyofanya kwenye uchaguzibwa October 25 na NEC ishashirikiana na ZEC kuhakikisha gesabu za ushindi walishaandaa. Na ndio maana walishajipanga na kuwataka vyama visivyo na nguvu yoyote pale Zanzibar washiriki ili CCM ionekane kushinda. Huu ni udhalimu wa kisiasa na hakuna ushindwani.Demokrasia imeminywa Tanzania! Haki hakuna waacheni wa-Zanzibari wajitawale. ��
Post a Comment