Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beke wa
JKT Mlale, Lucas Chapanga katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Yanga ilishinda 2-1. Kwa matokeo hayo Yanga imeingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beke wa
JKT Mlale, Lucas Chapanga katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
Geofrey Mwashiuya akimtoka Lucas Chapanga.
Lucas Chapanga akichuana na Geofrey Mwashiuya.
Salum Telela akichuana na Said Ngapa.
No comments:
Post a Comment