WADAU WA MTANDAO WA HABARI WA MODEWJIBLOG TUMEPATA TATIZO LA KWIKWI YA KIUFUNDI KUANZIA ASUBUHI YA LEO HIVYO TUNALIFANYIA KAZI HARAKA KWA KADIRI INAVYOWEZEKANA ILI TUWEZE KURUDI HEWANI.
TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU WOTE PAMOJA NA WATEMBELEAJI WETU POPOTE WALIPO KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
Endelea kuperuzi nasi wakati wote kwa habari mbalimbali: www.modewjiblog.com
IMETOLEWA NA UONGOZI WA MODEWJIBLOG.COM
No comments:
Post a Comment