Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Dianna Melrose Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Bi Theresia Samaria mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Balozi Mteule wa Namibia hapa nchini Bi Theresia Samaria mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Yasser El Shawaf Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Misri hapa nchini Mohamed Yasser El Shawaf Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jean Pierre Mutamba Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini Thamsanqa Mseleku Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
6 comments:
Mbona mnamwita Kikwete DK. amefuzu lini wakati ana shahada moja tu ya economics. ebu achene kuchezea taaluma za watu ninyi....watu wamesoma na kufuzu kupata udaktari wa falsafa siyo kujipachika pachika vyeo tu. Amuulize Magufuli jinsi ambavyo amefanya hadi kupata huo udaktari.Hizi safari za Ikulu kila siku za nini Bw. Kikwete???
Mdau wa 4:32pm acha kutoa povu. Dr.Kikwete amepewa PHD ya heshima na zinatambulika ulimwenguni kote. Na most of time watu wanapewa wakati wakiwa key note speaker katika mahafali ya kumalizia kozi za vyuo. Kwa hiyo usimbeze Rais Kikwete. Anastahili kuitwa Dr. Kikwete.
Mdau wa 8:13 PM wewe ndiyo mtoa mapovu, haina maana kila mahali mumkweze huyo Kikwete wenu, Kama ni hivyo basi kila rais wa Africa ni Doctor, k.v Dr. Museveni, Dr. Uhuru Kenyatta, Dr. Al sisi, Dr. Kagame, Dr. Nkurunzinza etc, lakini umeshaona sehemu yoyote wamejibandika hivyo vyeo (HATA KAMA WALIPEWA BURE)Kwa taarifa yako, hutaona marais wote duniani wanajita au wanaitwa madaktari wanapoandikwa, ni huyo Kikwete wako tu. Ph.D is not just a gift you have to earn it, not that simple to be a key note speaker to merit that advanced qualification. PIA UWE NA HEKIMA UNAPOONGEA SIYO UNAONGEA UPUUZI WAKO NA KUKOSA BUSARA, BISHA KAMA UNA UHAKIKA NA UNACHOONGEA NA PIA SOMA VIZURI KABLA YA KUKURUPUKA.
Apparently, it seems Mdau wa 4:32 PM na 9:48 PM is the same person. Lakini naona utachozungumza and your reasoning is very childish, to say the least. Kuna ubaya gani kuitwa Dr.?I mean, honorary doctorate. Kuna mamilioni wamepata titles hizo worldwide na wanayo haki ya kuzitumia. In fact, the majority of honorees are from the business and corporate world and not political leaders. Having said so, I just need to remind you that, Dr. Kikwete and other honorees don't dilute or diminish the credentials of PhD holders (including yours, if you hold one). Personal grudges or vendetta? as I sense from analyzing your criticism, shouldn't play a role in deriding the honors bestowed to many a people from time immemorial.
KILA MMOJA NA MCHANGO WAKE.
"Huyo Kikwete wenu"? Really? Sisi Watanzania leo tunajifikisha mahala hatuheshimu viongozi wetu? I may have diferreences with Kikwete but there should be no doubt about his service to our country and the respect he deserves as a result. One of our unique characteristics is the sense of respect we have for each other as a people and for our leaders. May I plead to continue exercising the restraint that has made us and our country the pride of many.
Post a Comment