Katika Reggae Time ya Pride FM wiki hii nilizungumzia kundi la Morgan
Heritage. Washindi wa Grammy katika kipengele cha albam bora ya mwaka
2015. Iliitwa STRICTLY ROOTS
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658
Ama kupitia TuneIn http://tun.in/seTTx

No comments:
Post a Comment