Mama mzazi wa marehem kulia akiwa mwenye uso wa majonzi kwa kuondokewa na mtoto wake hapa ni huko Ponocos. PA
Mh. Balozi Tuvako Manongi mwakilishi wa kidumu wa Tanzania katika umoja wa mataifa New York pamoja na mke wake wakiwa nyumbani kwa marehemu kutoa pole Mt. Vernon.
Ndugu na marafiki wakiwa na nyuso za majonzi nyumbani kwa marehemu huko Mt Vernon sikuya kwanza baada ya kusikia kifo cha mpendwa wao Jessie.
Ni majonzi makubwa ila mmoja aliefika nyumbani kwa marehemu.
Hapa ni Ponocos. PA siku ya jumamosi Watanzania walivyo mtembelea mama wa marehemu kwenye kumpa pole, Jumamosi na jumapili ndugu wa marehemu waliamua kufanya msiba Ponocos. PA na jumatatu hadi siku ya kusafirisha mwili watu wataendelea kutoa salamu za pole nyumbani kwa marehemu Mt Vermon kama kawaida.
1 comment:
Poleni sana wafiwa. Thanks for the no selfies na kutabasamu. Huo ndio naita hali you msibani. I am old fashioned.
God bless you all!
Post a Comment