ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 15, 2016

WAWILI WASIMAMISHWA TBC NA IDARA NZIMA KUFUMULIWA


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa Idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.

5 comments:

Anonymous said...

Wamekosa nini

Anonymous said...

Au wamesema ukweli kuhusu vipindi bungeni ??????????

Anonymous said...

kanuni kubwa inayotumika katika utawala wowote usio wa kidemoklasia, Nikuhakikisha wana kandamiza uhuru wa wananchi wake kupata habari kwa uwezo wowote ! Na kuhakikisha wananchi wake wanapata habari zile tu wanazozitaka wao kuwa fikishia na sii vinginevyo !
Kwakifupi huu ni mwanzo tu bado tutasikia mengi ! wameanza nabunge , sasa wanaweka vijana wao TBC ili watusikilizishe habari wanazozipenda wao kama watawala !

Anonymous said...

Poleni mliofukuzwa kazi haipo TBC
Njooni tv binafsi tena tutawapa vyeo kikubwa
Watu mmefanya kazi tangu Nape hajazaliwa
Aibu aibu Nape
Kama ni kipi do cha harusi si watu walilipa pesa

Anonymous said...

Acheni kuongea pumba kama kungekuwa na uwezekano watumishi wote wa umma wa serikali waliokuwa chini ya serikali ya kikwete wapumzishwe kuanzia mfagia bara bara hadi waziri mkuu wale watumishi ndio watakao mfanyia hujuma magufuli asitimize ahadi yake ya hapa kazi tu kutokana na kutomudu kasi mpya ya nguvu ya uwajibikaji ya hapa kazi tu hakuna kulala.