Mratibu wa Mpango MKURABITA Bi. Seraphia R. Mgembe (kushoto) akielezea majukumu ya ofisi yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) alipoitembelea ofisi hiyo jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (katikati) akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo jana.
Baadhi ya waandishi wa habari na watumishi wa MKURABITA wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipoitembelea ofisi hiyo jana.
1 comment:
Mbona kila mahali mawaziri ni kufokea tu? Watembelee pia maeneo ya kuigwa. Sio kila mahala kufundishwa tu namna ya utendaji bora.
Post a Comment