Advertisements

Saturday, February 6, 2016

ZIARA YA KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO KATIKA KITUO MAHIRI CHA TAIFA CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU

1
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(wa pili kushoto) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi bw. Xiong Hazbin (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip katika ziara ya kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
3
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akimsikiliza maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Eng. Peter Philip kuhusu mitambo ya kupozea umeme iliyoko katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.

4
Mitambo ya kupozea umeme iliyopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kijitonyama jijini Dar es Salaam.
5
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(kulia) akiongozana na Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Eng. Peter Philip na baadhi ya maaafisa wa Wizara wakati wa ziara ya kukagua kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
6
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akipewa maelezo ya namna hali ya usalama inavyozibitiwa katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip .
7
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akionyeshwa mitungi ya kuzimia moto Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip alipofanya ziara yake ya kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es .
8
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(kushoto) akionyeshwa sehemu ya chumba cha kuhifadhia Jenereta kilichopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kijitonyama jijini Dar es Salaam ,kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip . (Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

No comments: