Tale ameamua kutoa gari hiyo kama zawadi kufuatia uvumilivu wa shemeji yake huyo kwenye malezi ya familia bila kujali changamoto anazokutana nazo hali inayomtafsiri kuwa ni miongoni mwa wanawake wachache kwenye maisha ya sasa wenye uwezo wa kuhimili changamoto wanazopitia na kuhakikisha familia haiyumbi.
Babu Tale akikabidhi funguo za gari kwa Mama Hakam
Mama Hakam akiwa kwenye gari mara baada ya kukabidhiwa
Muonekeano wan je wa gari hiyo
No comments:
Post a Comment