ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 21, 2016

Watoto Wacheza Mpira wa Tennis Waadhimisha Mwezi wa Wanaharakati Weusi -Marekani

Watoto mashuhuri wacheza Tennis wa SE Washington,DC March 20, 2016 katika Ukumbi wa Millenial-Kennedy Center walionyesha maigizo mbalimbali yaliyokuwa yanatoa historia za wanaharakati weusi pamoja na wazungu waliosaidia kuleta mwamko wa haki na maendeleo ya watu weusi Marekani. Kati ya watoto hao walikuwepo watoto wa Kitanzania Briana Kagemuro ambaye alimuigiza mmoja wa wasichana walioandisha vuguvugu la "Black Lives Matters" pamoja na Bryan Mwombeki aliye igiza kama Mwanaharakati Amiri Baraka.
Kwa kuona video BOFYA HAPA

No comments: