ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 19, 2016

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI TATU ZA SERIKALI



 
 Dkt. Ayoub Rioba ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).


Prof. Godius Kahyarara ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

1 comment:

Anonymous said...

Asaante kwa hapa kazi tu. Nadhani kwa upande wa TBC tutaanza kuona kwenye luninga vikao halisi bila chenga na moja kwa moja huko BUNGENI DODOMA, sio tu kutuonyesha vikao vya mkuu wa mkoa wa Hapa na pale na wasaka tonge kwa udi na uvumba! tuleteeni vikao vya bunge wananchi tunataka kujua mnatuwakilisha vipi humo mjengoni.. Ruksaah.