Thursday, March 3, 2016

BREAKING NEWS: WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU ATENGUA UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA NSSF

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, sera, bunge, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Jijini Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

No comments: