ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 26, 2016

JUMUIYA YA WATANZANIA NORTH CAROLINA WAFANYA UCHAGUZI LEO

Muasisi wa UTNC na Mwenyekiti Mstaafu Bwana Nassor Basalama. Akipiga KURA yake kwa kumchagua Mwenyekiti na viongozi wengine wa UTNC. 
Akiwapokewa na wakatikati ni Mwenyekiti wa TUME; Pendo Nyang'oro na wa kulia Mjumbe wa TUME;Matilda
Mgombea uenyekiti Glory Alex akitumbukiza kura yake kwenye uchaguzi wa Jumuiya ya Wtanzania North Carolina uliofanyika leo Jumamosi March 26, 2016 katika hotel ya Comfort Inn iliyopo Durham, North Carolina nchini Marekani.

No comments: