Familia ya mwenyekiti wa CCM-NY inapenda kuwakaribisha watanzania wote kwenye kisomo cha marehemu mpendwa baba yao mkubwa kitakachofanyika Jumamosi hii (3/26/16) kuanzia saa kumi na moja jioni (5:00PM). Mahali kisomo kitakapo fanyika ni
2505 Third avenue, Bronx, NY 10451.
Tafadhali jisikie huru kifika na kitu chochote kile utakachojaaliwa. Natanguliza shukrani nyingi kwenu nyote.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana NA
SEIF AKIDA-917-557-3195
SALIMU AKIDA-646-807-5838
GASTON MKAPA-646-358-2367
IMETOLEWA
GASTON MKAPA
KATIBU ITIKADI NA UENEZI
CCM-NY
1 comment:
mmekosea sana tena sana kusema kisomo cha ccm.wenginewe sisi si ccm lakini tulikwenda kuhudhoriya pale kama dini,mila, silka, hulka na desturi zetu zinavyotuamrisha.hatuna uchama.
kuweni wastaarabu.tumekwenda kwa ajili ya jamaa yetu,mwezetu, rafiki yetu,na si kwa ajili ya chama.
hakuna maziko ya chama kuna maziko ya dini na kuzikwa na kusomewa kwa dini ya muhusika. kwa jinsi tulivyo shikana kwa upendo hata kama si dini yako tunajumuika pamoja bila kubaguana ili kumuunga mkono mwenzetu.sote kitu kimoja tusibaguane kwa kichama.
Post a Comment