ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 31, 2016

KUAPISHWA KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Spika wa Baraza loa Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akitowa maelezo kwa Wajumbe Wateuli kwa ajili ya kuaza kula Kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishi baada ya kuaza kwa Baraza hilo.
Waheshimiwa wakimsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuaza zoezi la kuapishwa Wajumbe wa Baraza kwa ajili ya kuaza kazi yao waliotumwa na Wananchi kuwawakilisha. wakwanza Mhe Rashid Ali Abdalla Jimbo la Amani na Mhe Mihayo Juma N'hunga. Jimbo la Dole.
Wajumbe wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza wakifuatilia utaratibu wa kuaza zoezi la
kuapishwa.wakwanza Mhe Amina Iddi Mabrouk (Viti vya Wanawake) Mhe NadirAbdul-latif Yussuf (Jussab) Mwakilishi wa Chaani na Mhe Abdalla Maulid Diwani wa Jimbo la Jangombe.
Waheshimiwa Viti vya Wanawake wakifuatilia zoezi hilo wakati wakimsikiliza Spika akitowa maelezo ya utaratibu wa kuapishwa.. 
Waheshimiwa wakiwa Ukumbi wa Mkutano wa Baraza wakimsikiliza Spika Mhe Zuberi Ali Maulid.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akimuapisha Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe Balozi Seif Ali Iddi, akishuhudia Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad. 
Spika Mhe Zuberi Ali Maulid akimkabidhi nyezo za kufanyika kazi Katiba ya Zanzibar, Katiba ya Tanzania na Kanuni ya Baraza la Wawakilishi Mhe Balozi Seif Ali Iddi baada ya kula kiapo ya Utii cha Baraza la Wawakilishi. 
Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe Abdalla Ali Kombo akiapa mbele ya Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Zanzibar Mhe Said Hassan Said akila kiapo cha Utii cha Baraza la Wawakilishin Zanzibar. 

No comments: