Saturday, March 5, 2016

Mama afariki dunia pamoja na watoto wake wachanga kwa kukosa damu

2 comments:

Anonymous said...

SERIKALI HII BADO HAIJAFANYA KITU..... KITENDO CHA KUJIFUNGUA KILITAKIWA KIWE CHA KUFURAHISHA KWA KULETA WANAWE DUNIANI LAKINI KWA TANZANIA NI CHA HUZUNI. TUNAUAWA NA MAJAMBAZI, MBU, WAUGUZI,MADAKTARI NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK NK. DAMU HAKUNA HOSPITALINI(HILO NI KOSA LA HOSPITALI), LAKINI WAMEJITOLEA WANANCHI KWA MAMIA KWENDA KUTOA DAMU ILI KUOKOA MAISHA YA MGONJWA ETI WANAAMBIWA MTOA DAMU HAYUPO (JE AMEKWENDA WAPI?), JE SI WAJIBU WAKE AWEPO HAPO KWENYE KITUO CHAKE CHA KAZI??? HALAFU RAIS ANASEMA ANATUMBUA MAJIPU...HAYO NI MAJIPU GANI ANAYATUMBUA WAKATI WASIO NA HATUA WAKIENDELEA KUFA??

Anonymous said...

We anon hapo juu. Usimraumu raisi. Raisi ni binadamu kama wewe. Jambo mmja na la busara ni sisi wananchi kumsaidia kutumbua huu uzaifu tulionao umekuwa too much kwenye jamii zetu. Raisi ana macho mawili kama wewe. Hawezi ona yote yanayoendelea katika nchi au dunia. Ndio maana ni wajibu wa kila raia. Kuwakilisha jambo unapoona jambo aliendi sawa katika jamii na serikali unabidi isikilize maoni ya wananchi yanapowakilishwa na kuyafanyia kazi. Hili nalo ni jipu muhusika wa kitengo cha kazi hawajibiki ipasavyo kwa kutoa huduma kwa jamii muda wa kazi hayupo kazini. Kweli sisi watu weusi ni badooo sanaa kujua wajibu wetu nini tunapopewa kazi.