Wednesday, March 2, 2016

MKURUGENZI MKUU MSAIDIZI WA UNESCO KWA UPANDE WA AFRIKA ATEMBELE WIZARA YA MAMBO Y NJE


> Mkurugenzi wa Idara ya > Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje, > Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, > Balozi Celestine Mushy (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi > Mkuu Msaidizi wa UNESCO kwa upande wa Afrika, Bw. Firmin > Matoko walipokutana kwa ajili ya mazungumzo kwenye Ofisi za > Wizara ya Mambo ya Nje.
Balozi > Mushy akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa > UNESCO kwa upande wa Afrika, Bw. Firmin Matoko. Mazungumzo > hayo pamoja na Mambo mengine yalijikita katika vipaumbele > vya UNESCO ambavyo ni elimu na jinisia. Kwa upande wa elimu, > Balozi Mushy alieleza hatua ya Serikali ya awamu ya tano > kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari. Kuhusu > jinsia, alieleza hatua ya Serikali ya kujumuisha wanawake > katika nafasi za uongozi ikiwa ni pamoja na kuimchagua > Makamu wa Rais Mwanamke wa kwanza. Mwingine katika picha ni > Mwakilishi wa UNESCO nchini Tanzania, Bi. Zulmira > Rodrigues.
Wajumbe > wakiendelea na > mazungumzo
Afisa > kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Bi. Ngusekela Nyerere na > Afisa wa UNESCO wakinukuu mambo muhimu ya > mazungumzo.
Balozi > Mushy akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Bw. > Matoko.
Picha ya > pamoja.

No comments: